Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka, ameongoza katika uchaguzi wa kura za maoni wa Jimbo la Simanjiro kwa kupata kura za 309, akifuatiwa na Kiria aliyepata kura 47 na wa tatu ni Matei aliyepata kura 17.
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )