Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, July 29, 2020

PICHA: Mama Anna Mkapa,Rais Magufuli Wakielekea kaburini kuweka udongo katika kaburi la Rais Mstaafu Benjamin Mkapa.

juu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa, Mama Anna Mkapa wakati wakielekea kuweka Udongo kwenye Kaburi la Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa Kijijini Lupaso Masasi mkoani Mtwara
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )