Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, July 28, 2020

Rais Magufuli Awasili Mkoani Mtwara Kwa Ajili Ya Kuhudhuria Mazishi Ya Rais Mstaafu Wa Awamu Ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa Ambaye Atazikwa Kesho

juu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa ndege wa Mtwara mkoani Mtwara kwa ajili ya kushiriki Mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa ambayo yatafanyika hapo kesho kijijini kwao Lupaso Masasi mkoani Mtwara.

chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )