Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, August 28, 2020

Ajali yaua watu watano Shinyanga

juu
Watu watano wamefariki dunia papo hapo katika ajali ya barabarani kijijini Nyasamba, wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.

Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Debora Magiligimba amesema chanzo cha ajali hiyo ni gari dogo kupoteza mwelekeo na kugonga basi dogo lililokuwa likitokea Mwanza kuelekea mkoani Tabora.

“Gari lenye namba za usajili T571 BPZ aina ya Tata Mini Bus ikiendeshwa na Kazimili Maganga likitokea Mwanza kwenda Tabora lilipofika eneo la Nyasamba liligongana na gari jingine dogo likitokea Dar es salaam likiendeshwa na Ramadhan Silaji na kusababisha vifo vya watu watano

“Chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wa madereva wa magari yote mawili na uzembe wa dereva dogo ambapo alihama upande wa kushoto na kuendeshea kulia zaidi na kwenda kugongana na basi hilo dogo na kusababisha vifo vya watu watano”   Amesema Kamanda Magiligimba

ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )