Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Sunday, October 4, 2020

Maalim Seif kuifanya Zanzibar kuwa kituo kikuu cha mawasiliano duniani Akishinda Uchaguzi

Mgombea Uras wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Malim Seif Sharif Hamad amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar anadhamiria kuifanya Zanzibar kuwa kituo kikuu cha mawasiliano duniani ikiwa pamoja na kuijenga bandari ya Wete na Mkoani.
Malimu Seif ametoa ahadi hiyo kwenye mkutano wa kampeni zake kisiwani Pemba kuomba kura kwa wananchi wa Pemba wamchague kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu ujao.

Aidha, amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar atawafutia deni la elimu ya juu Wazanzibar wanalodaiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu waliosoma kwa mkopo wanaoendelea kudaiwa na bodi hizo za mikopo.

Amesema amerejea Unguja bada ya kumaliza awamu ya pili ya kampeni kisiwani Pemba kuomba ridhaa ya wananchi wa Pemba kumchagua, baada ya kufanya mikutano Mauwani kiwani Pujini jimbo la Chonga, Mapofu Wingwi na kumalizia kijijini kwake jimbo la Mtambwe.chn
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )