WATU wanne ambao wametiwa mbaroni kutokana na mauaji ya kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Njombe, Emmanuel Mlelwa, wamedaiwa kukiri kutenda mauaji hayo kwa mujibu wa upelelezi wa polisi.
Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka, na kusainiwa na Mkurugenzi wa Mashtaka, imewataja watu hao kuwa ni Thadei Walter Mwanyika, George Sanga, Optatus Nkwera na Goodluck Oygen Mfuse.
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )