Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, December 5, 2020

Balozi Wa Tanzania Nchini Kenya Dkt.simbachawene Aiwakilisha Tanzania Katika Mkutano Wa Nane Wa Mawaziri Wa Mazingira Wa Afrika (Amcen)

Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dkt. John Simbachawene akiiwakilisha Tanzania katika Mkutano Maalumu wa Nane wa Mawaziri wa Mazingira wa Afrika (AMCEN) uliofanyika jana Desemba 4, 2020 kwa njia ya mtandao katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dodoma. 
 
Katika Mkutano huo uliohudhuriwa pia na wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, viongozi hao kutoka barani Afrika wamejadili masuala muhimu na agenda za Mkutano wa Baraza la Umoja wa Mataifa la Mazingira (UNEA-5) utakaofanyika Februari, 2021 na kukubaliana msimamo wa pamoja wa Afrika katika kushiriki Mkutano huo.
chn
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )