Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, March 12, 2021

Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu asitisha safari yake UAE Baada ya Jordan Kuzuia Anga Lake Kutumika


 Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu amesitisha safari yake ya kihistoria kwenda Falme za Kiarabu (UAE) hapo jana baada ya kutokea mzozo na Serikali ya Jordan.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi ya kiongozi huyo imeabainisha kuwa Jordan imezuia anga lake kutumika hivyo Netanyahu alishindwa kufanya safari yake UAE .

Hiyo ingekuwa ziara ya kwanza ya Nentanyahu tangu uhusiano wa kidiplomasia uanzishwe baina ya nchi hizo mbili mwezi Agosti mwaka jana.

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: