Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, May 25, 2021

Infinix Star Alliance: Muda Wa Kuonyesha Kipaji Chako Na Kusinda Hadi Tsh 5,000,000.

Kampuni ya simu janja za mkononi Infinix ina waletea watumiaji na wapenzi wa simu janja za kampuni yao shindano maridani kubwa litakalo ibua vipaji vya watanznia wote. 
 
Lengo la shindano hili ni kuwapa nafasi vijana wote kuonesha na kukuza vipajI vyao ndani na nje ya Tanzania na kwa uzuri zaidi kampuni ya infinix haijaweka wigo wowote wakuzuia aina ya kipaji. 
 
Onyesha kwa ufundi chochote kile unachoweza kupitia kipaji chako kama  kucheza, kuimba, kutangaza, kuchekesha kuchora nakadhalika ni muda wako sasa wa kujishindia hadi sh.5,000,000 cash.

Kanuni za kushiriki,

  • Washiriki wote wanatakiwa kushiriki shindano hili kwa njia ya bmtandao wa kijamii Instagram, chakufanya
  • Tuma na sambaza video yako ukiwa unaonesha kipaji chako kwenye mtandao wa kijamii instagram
  • Tumia hashtag #10ya10search na kisha tag @infinixmobiletz
  • Shirikisha Rafiki zako ili waweze kushiriki nawe kwenye video yako

Zawadi kwa shindano

  • Mshindi wa 1 anapata 4,600,000Tsh, simu janja kutoka infinix na ticket kuhudhulia uzinduzi wa simu mpya ya infinix.
  • Mshindi wa 2 kuondoka na 2,300,000Tsh, simu janja na ticket ya kuhudhuria uzinduzi wa simu mpya ya Infinix
  • Mshindi wa 3 had wa 10 kuondoka na 1,150,000Tsh, simu na ticket ya kuhudhuria uzinduzi wa simu mpya ya Infinix.

Mashindano haya kuendeshwa na wasanii maarufu kutoka kwenye tasnia ya Music, utangazaji, comedy na kadhalika tafadhali tembelea @infinixmobiletz kwa mengi zaidi.


Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: