Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, June 14, 2021

Fika Duka La TECNO Smart Hub Kariakoo Kesho Uzawadiwe Zawadi Kibao...Pia Kuna Ticket ya kutembelea Mbuga za Wanyama Tanzania


Ile siku tuyokuwa tukiisubiri kwa hamu wana TECNO imewadia. TECNO kuhitimisha promosheni ya Twende zetu kistaa kesho na kuwaalika wasanii maarufu kwenye kiwanda cha Filamu Tanzania miongoni mwa wasanii hao ni mkali wa Bongo Movie Elizabeth Michael, Tima na Kibibi wa tamthilia wa Huba. 

Zawadi kedekede zitatolewa kesho kwa wateja wa TECNO Camon 17 na kati ya zawadi hizo kuna ticket ya kutembelea Mbuga za Wanyama Tanzania, Fridge, King’amuzi cha DSTV, Drones na nyenginezo.


Wakati wa maandalizi ya utoaji zawadi hapo kesho Manager Mauzo Bi, Mariam Hussein alisema kwamba, “bado tuna zawadi nyingi sana tunawakaribisha wateja wa TECNO ambao bado hawajafika madukani kwetu kufika leo na kesho mapema kabla ya utowaji wa zawadi https://user.tecno.com/tz/camon17series-activity?uid=359&type=2#/., TECNO kuwazawadia wateja wa TECNO Camon 17 Kati ya zawadi hizi” na kuzitaja kama nilivyoziorodhesha hapo juu.
 

Camon 17 ni toleo jipya la series ya TECNO Camon ambayo uwekezaji wake mkubwa upo kwenye Camera. TECNO Camon 17pro inasifika kwa kupiga picha zenye rangi halisi na kurecord filamu kwa teknolojia ya black and white mode. 

TECNO Camon 17 inayawezesha haya na selfie camera yenye MP48 na teknolojia ya 4k video resolution pamoja na camera ya nyuma yenye MP64 na teknolijia ya black and white mode.
 


TECNO Camon 17 inapatikana katika maduka yote ya simu nchini Tanzania na ofa ya GB78 za Tigo kwa mwaka mzima.
 

Tembelea; www.tecno-mobile.comTangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: