Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, June 29, 2021

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini Tanzania (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale afariki dunia.


Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale, amefariki dunia  leo Juni 29, 2021.


Taarifa zimeeleza kuwa Mhandisi Mfugale, alianguka ghafla akiwa kwenye kikao cha kazi ofisi ya Katibu Mkuu Ujenzi Jijini Dodoma, baada ya kudai hajisikii vizuri na akakimbizwa hospitali ya Benjamin Mkapa kwa matibabu lakini mauti yakawa yamemfika.

Pamoja na mambo mengine, Mfugale atakumbukwa kwa uhodari katika ukamilishaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi wa madaraja ya kimkakati ikiwemo daraja la Mkapa, Kikwete, Rusumo, Nyerere, Mfugale na daraja la Kijazi pamoja mengi ambayo yamekamilika chini ya usimamizi wake.


Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: