Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, July 31, 2021

Rais Samia Apokea Ndege Mpya, Awataka Watanzania Watumie Fursa Zilizopo

 Rais Samia Suluhu Hassan, amewasihi watanzania kutumia fursa ya miundombinu ili kuwa na maendeleo ya kiuchumi.

Rais Samia ameyasema hayo  jana wakati wa hafla ya mapokezi ya ndege mpya aina ya Bombardier Dash 8-400, iliyofanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam.

Pia Rais Samia amesema Tanzania inatarajia kununua ndege ya kusafirisha mizigo ili kukuza uchumi wa nchi na kuwahimiza watanzania kujipanga vyema ili kunufaika na fursa za mindombinu inayojengwa nchini.
 

Rais amewasisitiza ATCL kutunza ndege zinazonunuliwa na kuepuka hujuma bali wajikite katika kuboresha huduma za usafiri nchini.

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: