Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, November 5, 2021

Makamu Wa Rais Dkt. Mpango Afanya Mazungumzo Na Dkt. Kikwete


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 05 Novemba 2021 amemtembelea na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete Ofisi kwake Masaki Dar es salaam.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete alipowasili  Ofisi kwake Masaki Dar es salaam. Novemba 5,2021


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango (wa katikati) mara baada ya kumaliza mazungumzo yao ofisini kwa Dkt. Kikwete Masaki Dar es salaam. Novemba 5,2021

PICHA – OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: