Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Thursday, December 9, 2021

Picha: Makomandoo Mbalimbali Wa Jeshi La Wananchi JWTZ Katiika Maadhimisho Ya Miaka 60 Ya Uhuru Wa Tanzania Bara

 Makomando Wa JWTZ (Wanamaji na Nchi kavu) wakipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan Kwa mwendo wa kunyakua na kutoa heshima katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru leo Desemba 9, 2021 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.


Wanajeshi hawa wamebeba mabegi yenye vifaa mbalimbali vyenye uzito usiopungua Kilogramu 30 wanavyovitumia wanapokuwa katika majukumu yao ya ulinzi wakati wa amani na wakati wa vita.

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: