Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Thursday, December 16, 2021

USAJILI: Rasmi TFF yafungua dirisha dogo la usajili

Dirisha dogo la usajili kwa klabu za Ligi Kuu ya NBC, Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti  Lite limefunguliwa rasmi leo Desemba 16, 2021 na kutarajiwa kufungwa Januari 15, 2022.

Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF zinasema kuwa katika kipindi hicho klabu zinatakiwa kutumia kufanya na kukamilisha usajili na uhamisho wa Kimataifa.

Klabu yoyote itakayokuwa na changamoto inatakiwa kuwasiliana na na TFF Idara ya Mashindano.

TFF imeongeza kuwa hakutakuwa na muda wa ziada baada ya kufungwa kwa dirisha, hivyo ni vyema klabu kukamilisha usajijili na uhamisho kwa wakati.

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: