Na John Walter-Manyara
Jeshi la Polisi mkoani Manyara linamshikilia Mwanaisha Selemani (26) mkazi wa Kitongoji cha Ngage Jangwani wilayani Simanjiro kwa tuhuma za kumchoma kisu kifuani mume wake Riziki Enock (34).
Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara Benjamin Kuzaga amesema tukio hilo limetokea Januari 1,2022 katika kitongoji cha Ngage Jangwani wilayani Simanjiro majira ya saa 14:00 mchana.
Kamanda Kuzaga amesema majeruhi hali yake ni mbaya na amelazwa katika hospitali ya rufaa ya kanda ya kaskazini (KCMC) Moshi kwa matibabu zaidi na mtuhumiwa wanamshikilia kwa mahojiano.
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )