Takriban watu 10 wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa baada ya shambulio la kombora kupiga kwenye mji wa pili kwa ukubwa Kharkiv mashariki mwa Ukraine.Makumi ya watu wengine waliokolewa kutoka chini ya vifusi.
Picha za video zilionesha kombora likipiga jengo la serikali ya mtaa na kulipuka, na kusababisha moto mkubwa. Kharkiv imekuwa imeshambuliwa kwa mabomu kwa siku kadhaa sasa.
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )