Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, April 1, 2022

Abdulrahman Kinana apita kwa asilimia 100 umakamu Mwenyekiti CCM


Wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM wamemchagua Abdulrahman Kinana kuwa makamu Mwenyekiti wa CCM Bara kwa kura za ndiyo 1875.

Wajumbe waliopiga kura 1875, kura halali 1875, hakuna za hapana wala zilizoharibila

Matokeo hayo yametangazwa leo Ijumaa Aprili 1, 2022 na Dk Tulia Akson ambaye alikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi huo.

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: