Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, June 8, 2022

Waziri Mkuu Majaliwa Akutana Na Mwenyekiti Wa ACT Wazalendo Juma Duni Haji

 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti  wa Chama cha ACT – Wazalendo, Juma Duni Haji  baada ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni 8, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji  kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa  Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni 8, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha ACT - Wazalendo, Juma Duni Haji kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa  Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni 8, 2022.
Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: