Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, July 9, 2022

Ubalozi Wa Tanzania Nchini Ufaransa,wadau Sekta Ya Utalii Wakutana Kuzindua Royal Tour


 Na Mwandishi Wetu, Ufaransa

UBALOZI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ufaransa, umekutana na wadau wa Utalii mjini Paris  kwa ajili ya kuonyesha na kufanya uzinduzi rasmi wa filamu ya 'Royal Tour', iliyoigizwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Aidha,  tukio hilo lililofanyika Julai 8,2022 katika ukumbi wa Ubalozi  lilihidhuriwa na  Mhe. Tabia Maulid Mwita ambaye ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar .

Waziri Mwita alikuwa akiiwakilisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika katika maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani yaliyofanyika Makao Makuu ya UNESCO tarehe 7 Julai 2022.

Tangazo
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

End: